Mkoa wa Magharibi (Rwanda)
Mandhari
Mkoa wa Magharibi (kwa Kinyarwanda: Intara y'Iburengerazuba) ni kati ya mikoa mitano ya Rwanda tangu mwaka 2006, ambapo ulianzishwa kwa kuunganisha mikoa ya Cyangugu, Kibuye na Gisenyi.
Kwa sasa linaundwa na wilaya 7:
Makao makuu yako Bwishyura, katika wilaya ya Karongi, lakini miji mikubwa zaidi ni:
Wakazi ni 2,008,000.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Magharibi (Rwanda) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |